Matukio

 Cheka akishuka kwenye VX nyeupe aliyosafiri nayo toka Dar mpaka Moro na kuingia kwenye gari ya wazi eneo la Nane Nane tayari kwa msafari wa kuelekea katikatika ya mji wa Morogoro.

 Cheka akinyanyua mkanda aliokabidhiwa Agost 30 baada ya kumtwanga Mmarekani Phil William  mbele ya kamera za Mtandao huu jana jioni muda mfupi baada ya kuwasiji mkoani Morogoro
 Msafara kuelekea katikatika ya mji ukiendelea
 Cheka akizungumza na umati mkubwa wa watu uliofulika kwenye ukumbi wa Old Vai jana majira ya saa 12 jioni kwenye mapokezi hayo ya Cheka kulikuwa na vituko kibao kikiwemo cha mlemavu wa miguu aliyenusurika kugongwa na gari alipotaka kumshika mkono Cheka baada ya kuona tukuo hilo Cheka alisimamisha msafara huo na kumshika mkono mlemavu huyo kwa habari

1 comment:

  1. Wakwetu unawakilisha vilivyoooooooo.............big up kaka

    ReplyDelete