Wednesday, September 19, 2012

SERENGETI FIESTA YAWAKOSHA WAKAZI WA MORO!!!!!!!!.


Mnyama Diamond akitumbuiza katika jukwaa la Serengeti Fiesta ndani ya Uwanja wa Jamhuri Morogoro2012
.
Wema Sepetu naye hakuwa nyuma kwani ali mwaga mauno ile mbaaaaaaaya.

Wasanii wa Bomgo movie wa kiwashukuru wakazi wa Moro
kwa ushirikiano wao.




Pichani kulia ni mkuu wa mkoa, Joel Bendera akisoma mshindi
wa pikipiki zinazotolewa na Kampuni ya Push Mobile katika
mchakato mzima wa Tamasha la Serengeti Fiesta 2012,
Kati ni meneja wa masoko wa kampuni ya Push mobile
Rodney Lugambo pamoja na msanii wa kundi la
Zecomedy Mpoki.






Watu waliofurika ndani ya Tamasha hilo la Serengeti Fiesta 2012 Bhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaass!!

Wednesday, September 12, 2012

Maandamano ya Waislam Baada ya Salat Ijumaa DSM


Waisiamu kutoka maeneo mbali bali ya jijini Dar es Salaam wakishiriki katika maandamano ya kuelekea Ofisi za Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi ili kupatiwa ufumbuzi juu ya kamata kamata ya Jeshi la Polisi dhidi ya waisilamu waliokataa kuhesabiwa katika zoezi la Sensa ya Watu na Makazi. Wameendelea na msimamo wao wa kupingwa kukamatwa wanaokataa kuhesabiwa Sensa.Jeshi la Polisi limekubali kuwaachia huru waislamu wote waliokamatwa.Waislamu watangaza ushindi, wasema Bado Mkuu wa baraza la Mitihani Joyce Ndalichako ajiandae na maandamano ya namna hiyo hadi ofisini kwake na baadae Bakwata wanayotaka ifutwe. Muda huu wapo hapa Msikiti Kichangani,Magomeni wanapanga Mkakati wa kuandaa maandamano mengine.
Mabango yenye maelezo tofauti tofauti.
Maandamano yakiendelea.

Welcome Kungs mujanja Entertainment

karibu katika blog yako ya wajanja itakayo kupa taratibu zote za ujanja wakufanikiwa na kutofanikiwa bongo.